Mapenzi ya mastaa na visa vyao
1.MANARA NA ZAYLISSA
Penzi la manara na zaylissa linazidi kunoga licha ya watu kwa nyakati tofauti tofauti kudai wawili hao wameachana lakini ukweli ni kwamba wawili hao bado wako pamoja hadi sasa. Zaylissa kwasasa nyita yake inang;aa na ameanza kupata matangazo mbalimbali ya kumuingizia pesa.
2.MARIOO NA PAULA
Wakati penzi kati ya nyota wa mziki wa bongo fleiva marioo na mkewe paula lilipoanza watu waliona binti huyo ni kama alikuwa analipa kisasa kwa kuachana na rayvanny. Mpaka sasa penzi la wawili hao limekolea na wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike.
3. JUX NA PRISCA
Hii ni couple yenye uzito mkubwa na mwishoni mwa mwezi ulopita wawili hawa walifunga ndo ambapo jux ameamua kutulia kwa mrembo huyu wa nigeria baada ya kuachana na Karen Bujulu.
4.DIAMOND NA ZUCHU
Hili penzi limekuwa na misuko misuko kila kukicha ambapo wawili hao kila mmoja kwa wakati wake amekuwa akijiongelea yeye binafsi huku zikiibuka hoja nyingi mtandaoni zikidai wawili hao wameachana.
5.BILLNASS NA NANDY
Penzi lao lilianza kama utani kufikia kufunga ndao na sasa wamejaaliwa kupata mtoto wa kike mmoja.