Author Archive for: usaili

Tanzania yatangaza Ugonjwa wa Mpox kuingia March 2025

Tanzania yatangaza Ugonjwa wa Mpox kuingia, Serikali ya Tanzania imethibitisha kuwepo kwa ugonjwa wa Mpox, ambao awali ulijulikana kama Monkeypox Tanzania yatangaza Ugonjwa wa Mpox kuingia Serikali ya Tanzania imethibitisha kuwepo kwa ugonjwa wa Mpox, ambao awali ulijulikana kama Monkeypox, baada ya wagonjwa kadhaa kuripotiwa katika mikoa mbalimbali. Wizara ya Afya imetoa tahadhari kwa wananchi kuchukua tahadhari zote muhimu ili

Continue reading

TRUMP azidi kumuadhibu Zelensky, Ukraine hali ni tete, Urusi yazidi kuibomoa, amani bado sana

TRUMP azidi kumuadhibu Zelensky Trump, akitumia nguvu yake ya kisiasa, alianza kampeni kali za kushawishi Marekani kusitisha msaada wa kifedha kwa Ukraine. Alidai kuwa Zelensky alikuwa amekuwa mzigo kwa walipa kodi wa Marekani na kwamba Ukraine inapaswa kujitegemea. Aliwashawishi wabunge wa chama chake kusitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine na kutishia kuzuia hata misaada ya kibinadamu. Katika mahojiano yake na

Continue reading

Nicole apandishwa mahakamani Leo March 2025

Nicole apandishwa mahakamani Msanii Joyce Mbaga maarufu kama Nicole Berry amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam kwa ajili ya kujibu mashtaka za tuhuma zinazomkabili. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne alithibitisha kumshikilia Nicole mnamo Machi 3, 2025 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo za kukusanya fedha kupitia WhatsApp bila kibali na kisha kuzima

Continue reading

Mapenzi ya mastaa na visa vyao

Mapenzi ya mastaa na visa vyao 1.MANARA NA ZAYLISSA Penzi la manara na zaylissa linazidi kunoga licha ya watu kwa nyakati tofauti tofauti kudai wawili hao wameachana lakini ukweli ni kwamba wawili hao bado wako pamoja hadi sasa. Zaylissa kwasasa nyita yake inang;aa na ameanza kupata matangazo mbalimbali ya kumuingizia pesa. 2.MARIOO NA PAULA Wakati penzi kati ya nyota wa

Continue reading

Kozi za VETA na Ada Zake 2025-2026

Kozi za VETA na Ada Zake, Looking for VETA courses and fees in Tanzania? Here is a detailed guide on vocational training courses at VETA, including admission requirements, costs, and the best trades to study in 2025. Kozi za VETA na Ada Zake Vocational Education and Training Authority (VETA) is the leading institution in Tanzania that offers hands-on skills training

Continue reading

Contact Us

JobMonster Inc.
54/29 West 21st Street, New York, 10010, USA
contact@jobmonster.com
http://jobmonster.com