SIMBA KUKIPIGA LEO HII NA KMC STADIUM MARCH 2025

SIMBA KUKIPIGA LEO HII NA KMC STADIUM ,Simba ya ivaa kmc stadium leo usikose kutazama mechi inayo tarajiwa kucheza jion ya leo.

SIMBA KUKIPIGA LEO HII NA KMC STADIUM MARCH 2025

Baada ya Kushindwa kuchezwa kwa Mechi ya Dabi ya Kariakoo, leo jioni Simba inatarajiwa kushuka Uwanjani kuvaana na TMA Stars ya Arusha ukiwa ni Mchezo wa hatua ya 32 bora wa Michuano ya Kombe la Shirikisho (FA)

Hii ni kati ya mechi tatu za Michuano hiyo zinazopigwa leo, Ukiwemo ule wa Kiluvya dhidi ya Pamba Jiji, na Kagera Sugar itakayokuwa wenyeji wa Namungo, huku Simba ikiwa mwenyeji dhidi ya Maafande wa TMA iliyopo Ligi ya Championship (daraja la Kwanza).

SIMBA KUKIPIGA LEO HII NA KMC  STADIUM

 

Leave your thoughts

Contact Us

JobMonster Inc.
54/29 West 21st Street, New York, 10010, USA
contact@jobmonster.com
http://jobmonster.com