Kwani Jux hapa ni kitu gani kilimferisha Full story
Kwani Jux hapa ni kitu gani kilimferisha, Baada ya Juma Mussa ‘Jux’ kuachana na Vanessa Mdee aliingia kwenye mahusiano na Nayika Thongom, raia wa Thailand, ambapo mahusiano hayo hayakumaliza hata miezi sita waliachana. Inaaminika ndo mwanamke mrembo zaidi ambaye jux alishawai kudate nao. Je mwanetu jux alifeli nini kushindwa kupata hata mbegu ya mtoto kwa mrembo huyu? stories what happened
Continue reading