
Jinsi ya Kujiunga na Huduma ya Songesha ya Vodacom, Discover how to easily join Vodacom’s Songesha service! Learn the steps to sign up, the benefits of this service, and how it can improve your communication. Get a detailed guide to start enjoying the latest Vodacom services today.
Jinsi ya Kujiunga na Huduma ya Songesha ya Vodacom
Vodacom in collaboration with TCB Bank has launched a new and unique service for its customers known as Songesha. This service helps to complete M-Pesa transactions when the balance is low. Songesha allows you to send money, pay for services and products even if you do not have enough balance in your M-Pesa.
Jinsi ya Kujiunga na Songesha
Kujiunga na Songesha ni rahisi. Fuata hatua hizi:
- Piga 15000#
- Chagua “Huduma za Kifedha”
- Chagua “Songesha”
- Kubali vigezo na masharti
Ukishajiunga, utaweza kutumia hadi Tsh. 30,000 kupitia Songesha.
Kukamilisha Muamala wa Kutuma Pesa na Songesha
Unapotuma pesa na huna salio la kutosha, Songesha itakusaidia. Fuata hatua hizi:
- Piga 15000#
- Chagua “Tuma Pesa”
- Weka namba ya simu, kiasi na namba ya siri
Kama huna salio la kutosha, utaarifiwa kutumia Songesha kukamilisha muamala.
Kukamilisha Malipo ya LIPA kwa M-Pesa na Songesha
Songesha pia hukusaidia kulipa kwa M-Pesa kwa wafanyabiashara walio sajiliwa. Fuata hatua hizi:
- Piga 15000#
- Chagua “LIPA kwa M-Pesa”
- Weka namba ya biashara, kiasi na namba ya siri
Songesha itatumika kama huna salio la kutosha.
Kukamilisha Malipo ya Bili na Songesha
Unaweza kulipa bili zako kupitia Songesha kwa kufuata hatua hizi:
- Piga 15000#
- Chagua “LIPA kwa M-Pesa”
- Chagua “LUKU” au huduma nyingine
- Weka namba ya simu, kiasi na namba ya siri
Songesha itatumika kama huna salio la kutosha.
Kuangalia Kiwango cha Matumizi ya Songesha
Ili kuona kiwango chako cha matumizi ya Songesha:
- Piga 15000#
- Chagua “LIPA kwa M-Pesa”
- Chagua “Songesha”
- Chagua “Kiwango Cha Matumizi”
- Weka namba ya siri
Ada za Maombi ni kama ifuatavyo:
Kiwango (Tsh) | Ada ya Maombi (Tsh) |
---|---|
0 – 1000 | 22 |
1001-3000 | 55 |
3001-4000 | 110 |
4001-5000 | 132 |
5001-10000 | 264 |
10001-20000 | 462 |
20001-30000 | 583 |
30001-40000 | 693 |
40001-50000 | 792 |
50001-80000 | 913 |
80001-100000 | 1243 |
Conclusion
Songesha is the best solution for Vodacom and TCB Bank customers to ensure they are not stuck when doing M-Pesa transactions even if the balance is low. Joining is easy and this service is available to all Vodacom customers.
READ ALSO ; Ratiba ya treni sgr dar kwenda dodoma Hizi Hapa 2024
Thank you for reading our article to the end, if you have any questions please leave a comment below or you can Contact us. Don’t forget to join us on WhatsApp Groups For more updates.
Usaili.com team is dedicated to making sure you stay updated.
Join Our Whatsapp Group for Daily Updates
CLICK HERE
You may also like
Sifa Za Kujiunga Na Kozi Ya Pharmacy Tanzania 2024-2025
Best Pharmacy Colleges In Tanzania 2024/25
Nauli ya treni ya mwendokasi dar to morogoro (SGR) 2024
Ratiba za Treni ya Mwendokasi SGR 2024
3 Comments
[…] READ ALSO ; Jinsi ya Kujiunga na Huduma ya Songesha ya Vodacom 2024 […]
[…] READ ALSO ; Jinsi ya Kujiunga na Huduma ya Songesha ya Vodacom 2024 […]
[…] READ ALSO ; Jinsi ya Kujiunga na Huduma ya Songesha ya Vodacom 2024 […]